letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mi ndio yule - msomali

Loading...

h-llo sister, samahani nimekuita
kaja kwa upole huku anasita sita
mkononi ana macho matatu, oh
labda alisita kwa vile aliniona mchafu
mi ndo yule nilikuona tiktok
mi ndo yule nilikuomba namba ya whatsapp
mi ndo yule nilikuona facebook
mi ndo yule nilikuomba namba ya whatsapp

we dada, mi ndo yule ukipost na comment makopa
ulie niomba vocha nikaforce nikutumie
niliekutumia meseji ukasema nikaushie wewe
wewe dada, mi ndo yule ukipost picha
na comment makopa, ndio mie
ulie niomba vocha nikaforce nikutumie
niliekutumia meseji ukasema nikaushie wewe
wewe, mi ndo yule ukipost picha
na comment makopa, ndio miе

mi ndo yule namba yako ulinipa kwa masharti
mchana nisipige, usiku hutaki tuchati
mi ndo yule unanijibu mеseji moja basi
samahani we mkaka, usumbufu sitaki
mi ndo yule mchizi muimba mapenzi
unaenipa kipindi kuwa na mimi huwezi
mi ndo yule f-kara nisie na hela
wala biashara, wala pakulala
mi ndo yule, mi ndo yule
mi ndo yule, mi ndo yule
mi ndo yule, mi ndo yule
hunik-mbuki, mi ndo yule

mi ndo yule haipiti siku lazima nikucheki
mi ndo yule uliniombaga laki moja ya keki
mi ndo yule kwenye party yako niliishia getini
mi ndo yule
mi ndo yule ulioniuliza natumia simu gani
mi ndo yule nilokujibu namiliki ki iphone
mi ndo yule uloniuliza iphone ya aina gani
mi ndo gafla nikakujibu ki itel, jamani

mi ndo yule namba yako ulinipa kwa masharti
mchana nisipige, usiku hutaki tuchati
mi ndo yule unanijibu meseji moja basi
samahani we mkaka, usumbufu sitaki
mi ndo yule mchizi muimba mapenzi
unaenipa kipindi kuwa na mimi huwezi
mi ndo yule f-kara nisie na hela
wala biashara, wala pakulala

mi ndo yule, mi ndo yule
mi ndo yule, mi ndo yule
mi ndo yule, mi ndo yule
hunik-mbuki, mi ndo yule
ah, vitamin music forever
mi ndo yule, mi ndo yule
mi ndo yule, mi ndo yule

msomali, vitamin singeli

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...