letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de pesa - mr. bluetz

Loading...

[intro]
yeah!
bizzy babylon
heri same! mr. blue
ah nimetoka mbali mbali mbali
ah yeah word up, word up
sayy record, record
lazima tusherekee
kwa kile kilichofanyika, au sio?
let’s go!

[verse 1]
nishatembea kwa miguu kabla kuwa mr blue
hakuna sista duu wala blaza duu alienijua
zaidi ya joto, mvua na jua
na msoto ulionikuza nikakua
labda ghetto la washikakaji wanaonijua
kweli shida kama moto zinaunguza unaungua
amani dar es salaam, nyumbani dar es salaam
rest in peace my mom, nakupa salamu
huku maisha kidogo matamu nakula vitamu
miss you mom, miss you mom
ilikuwa kama ndoto kuwa superstar
kuruka kopo kila kona kila bar
kwenye hali ya msoto maisha shida na njaa
bongo kweli nyoso, bongo balaa
kijana usikate tamaa kaza jombaa
kabla ya dully sykes kutoka na juma nature
niko kariakoo kwenye zaga tu nakesha
kila banda kila stoo tunasaka pesa
upepo ume-change na mambo yote bomba
unikosi top 20 wala 3 bomba
ma-fans utitiri autograph wakiomba
sijafika ikulu kupiga chata kwa mjomba
waandishi wa habari nao wanataka habari
mi sina habari, niko beach napata upepo wa bahari
na ma-snitch wote naona kwa mbali
natumia pesa, naijua pesa
kula nyama, kula maji
tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
kuimba na kucheza
let’s go!

[hook]
tunatumia pesa pesa pesa
tulitafuta pesa pesa pesa
tukazipata pesa!
ah! tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
aah tunatumia pesa pesa pesa
tulitafuta pesa pesa pesa
tukazipata pesa!
eeh (let’s go!) tumekuja kutesa, kuimba na kucheza

[verse 2]
ukipenda kula ndama and glass gonga cheers
waambie wakina mama leo nyama zinaliwa steers
jiji limehama mabwana tumevamia
slogan za kinyama nafikiri tulikwambia
flow mamia kwa mamia, kwenye show mamia kwa mamia yanaingia
kwenye store album wameshindwa kubania
kweli soo kula nyama, kula bia mpita njia
wapigie marafiki, waambie hii sio kila wiki
hii ni kila siku mchana na usiku
sherehe imepamba moto kama uswazi na kiduku
wachokozi na vikuku na wala sio sikukuu
chana pesa weka posi mpaka ubaki mtupu
namwaga noti kama mtoto wa fisadi
na-change watoto kama vile hakuna idadi
niite superstar pembeni na bodyguard
hapa hakuna kulia njaa, na credit card
tunatumia pesa, tumekuja kutesa
kuruka, kuimba na kucheza
tumekuja kutesa, kuimba na kucheza (cheza wewe!)

ah! tumia pesa ikuzoeehehehe tulikwambiaalright (oh noo, eeeh)

[hook]
tunatumia pesa pesa pesa
tulitafuta pesa pesa pesa
tukazipata pesa!
ah! tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
aah tunatumia pesa pesa pesa
tulitafuta pesa pesa pesa
tukazipata pesa!
eeh (let’s go!) tumekuja kutesa, kuimba na kucheza

[outro]
kaa mbali wewe, muda wetu wewe
uuh watu wamefanya kazi, wanaba..baba banjuka tu
respect micharazo lifestyle, bob wuuh
au sio bwana?
c’mon now waambie tumekuja kutesa, kuimba na kucheza
seyy record, seyy record, i see ya brother
wuuh habari unayo, alright

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...