letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mama hajui - mors

Loading...

oscyboy on the beat
intro: we bringn’ new vibes out huh {laughs…}
the mors

verse1;savalif3
hajui ka nakana watu now nowdays
hata ndugu siwapi salamu nowdays
hajui? ka nabana gals nowdays
hata mijimama mi nakula nowadays
hajui ka sikuhizi naitwa baba nanii
afu mtaa wa pili kuna mimba yangu mi, (fundii)
kwenye club zote mi vip
wapinzani w-ngu wote rip
pesa ya tuit napewa naenda club nalewa
yaani yote nakula nashinda location nauza sura
na maswali mengi sana!
ivi kwanini natukana sana?
hizi tabia nimerithi ama
ila kwani kweli mbona daddy hana

chorus:mama hajui
mama hajui
mama hajui
mama hajui x 2

verse2;quantasage
mama knows am a saint ei
she doesn’t know am a culprit
stay low fit with gucci sh-t
she lecture me that she proud of me
she doesn’t know that i rap or trap
is she really that lame? cant see am insane
drunk and am lame , no kinda games
mama doesn’t know am a loner no more
take off the bags am a savage ever more
ma doesn’t know am shy no more
let it go litty am a stain that a foul
i’m so keen but am really that mean
now she knows i’m the first boy,she ma first choice
don’t believe that, understand it
i’m the worst in the galaxy, watch ur fantasy
coz am more than u see

chorus:mama hajui
mama hajui
mama hajui
mama hajui x 2

verse3;dully stain
mi nakula ganja,ninaruka tu viwanja
ila mama hajui juiiii…..,
kesha ka mw-nga,toto zao zinadanga
ila mama hajui juiiii…..,
mi napenda sana vyura x 2
dada yako nshamkula x 2
anajua kwamba nimeokoka
k-mbe midnight natoroka
na matusi daily naropoka
ikifika jumapili church nimechoka
nimekua star in the city
kila mtu anataka kua kama mimi!
wananifata ma chick,ila mama akijua hatoamini

chorus:mama hajui
mama hajui
mama hajui
mama hajui x 2

outro; haha hahaha haha
city music
@mors_tz
@oscyboymnyama
@quantasage
@savalife3
@king_stain_

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...