letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tawala song - monica bulali feat solomon mkubwa

Loading...

tawala song lyrics
stanza one
uliniumba nikuabudu
wewe ni bwana wa mataifa
dunia yote yakutukuza
ufalme wako wadumu milele
na matendo yako ni ya ajabu
ushindi wako ni wa kipekee
unastaajibisha twakutuza
tunasema
tawala milele

chorus
tawala aaa aaa aaa
tawala aaa aaa

stanza two
kazi zako bwana tuzilinganishe na nani
umetuumba ili tukuabudu bwana
mimi ni kazi ya mikono yako
ndio maana na imba sababu undani mw-ngi
tawala aaa aaa
tawala bwana aaa aaa
kiti chako kikae kila siku hallelujah
tutapiga magoti hapo kila siku
bridge
wastahili kutawala
wastahili kuabudiwa
wastahili kusifiwa
wastahili kuinuliwa
bwana aaa aaa

chorus
tawala aaa aaa aaa
tawala aaa aaa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...