letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kuzitoka - moji shortbabaa

Loading...

naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto

juu ya kule nimetoka
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi

wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke

naskia niko high, si ndogogio
ni vile nimetoka far, morio
amenipata kwa mtaa kwa ma ngori io
sa maisha tam, tam kama oreo
wacha nizitoke nizitoke
alinipata pale chini kwa matope ie
wacha nizitoke nizitoke
mi na ye ka mkisii na matoke ie

sa mikono juu ka za pastor
na shetani ako chini kama duster
tingiza mguu ka haina plaster
tuzitoke twende faster

naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi

wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke

amefuta chovya hakuna kurira
chini ya mwamba, mwamba ndiyo naturira
no games hapa; hii si mupira
kanifunza mengi mengi hadi subira
wengi wazitoka wakiona chief ama rais ako area
mi n-z-toka juu nashukuru niko hai niko area

basi mikono juu ka za pastor
na shetani ako chini kama duster
tingiza mguu ka haina plaster
tuzitoke twende faster

naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi

wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke

mmh ah ah ah n-z-toka mmh ah ah ah
mmh ah ah ah n-z-toka mmh ah ah ah
mmh ah ah ah we zitoke mmh ah ah ah
mmh ah ah ah we zitoke mmh

basi, wacha tuzitoke
tuzitoke
basi wacha tuzitoke
tuzitoke
basi wacha tuzitoke
tuzitoke
basi wacha tuzitoke
tuzitoke

naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...