letra de pole musa - moipei quartet feat. miriam makeba
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
letras aleatórias
- letra de la trappola del ragno - dzeck & ares manna
- letra de wind under my wings - elijah n
- letra de saturday night intro - louis. & sam brown
- letra de lament [the night watch] - king crimson
- letra de sweepy - jae'zus
- letra de рядом пьяный (near drunk) - krasnov
- letra de tu cuerpo y el mío - sotomayor
- letra de the zero consequence of the product called you - illuminati softslave
- letra de ten thousand to carlisle came - pinetop seven
- letra de özlüyorum bir bilsen - eren türk