letra de topcreme - mixmaster zeal
keti, kua makini darasani
ni kugwan kudanger noma yaani
classic ka rumba j-pani
wanauliza ati huu msee ni nani
hungry for this throne,ramadhani
nikimada wako mteja hapatikani
wanawonder what hit them kwani radi
kujifanya ndio the isht na hawaradi
and don′t get me wrong nina mahunnie
kina sue, kina njeri hadi sally
rangi zote, bigi ndogo to walami
wanacome fast,ferrari kwenye lami
kuwakunywa ka beer,tindi kali
na kwa mbosho nina pesa kama khali
account ni m,shwari yaani hali
in short i’m here to stay na sihami
yo
on your mark set go, kua tayari bro
usiwe na wasiii bruv, big up to the prez
kama ulidoubt ushajipata kwenye maze
unashindwa huu ni nani na ni nini anaintend
kama una skio nishajua ushanilend
its mmz – rules nimecome kubend
your doubt of me kwa hii fani ntaiend
na mawhack rappers si unajua parking ntawasend
mhh-huh niko drinks na mayengs
na hii flow inasail ka pirates back then
rip esir kwa hii fani nitakita mizizi, kbc on the weekend
wengi wao wananeed a helping hand
katu mimi kwa binadamu sitabend
you can′t get enough of this music in my head
but for now lemmi flow ushajua i’m the mehn
yeah, yeah
i’m the mehn, i′m the mehn, raundi this ni kuchinja hawa marapper ka mahen
yeah, na me sijali we ukitrend, cos the best you can do ni show ya 10/10
meanwhile natua first-class, si sgr ni klm, i got this mehn
nadishi maisha na big spoon, sio mali ya umma ka jubilee na odm
zinananice naskia kudance odi mehn
sk!lls zinashine the more, the older we get
na hii siku imefika ni yetu mehn
hauskii there′s no country for old men
diamond in the rough, sahii ishakua gem
na macorporate still stuck to jerusalem
challenge kwao wanachoke kama moshi ya ngem
bring maziwa tuko ready, si ndio topcreme
oyah, zima koro kuna ops mehn
wanapiga raundi mwenda, niku,obtain
ile kidogo nishasaka
life spidi now ka panya na paka
ako wapi kaka
ndio ak-mbushe wajinga ndio waliwao
walisema ndio the juice k-mbe waliunda na limau
maisha sour, bet shower baki ukiuliza iz how
wakitega tunategua, ama zangu ama zao
e,town we are the coffeehousecrew
brew fresh always ready when we come through
flow mental uchawi utadhadhani ni vuduu
cold season itabidi waskie la mkuu
na wasipo obvious watavunjika guu
round this hatutaki za uduu
si ndio pillar huwezi kata ask around find its true
sticking to our element, making tighter those grooves
letras aleatórias
- letra de kvinnor och barn - frida hyvönen
- letra de deli - dababy
- letra de praline - new ambitions
- letra de okay - tcolli
- letra de greased lightnin' (karaoke) - new broadway cast of grease (2007)
- letra de grahbem jorgazz - 高円寺百景 (koenji hyakkei)
- letra de grow - katya. (deu)
- letra de a ghost like me - katie haverly
- letra de eu disse basta - doralyce
- letra de rally - luq x voler