
letra de hakuna noma - mimi mars
[verse 1]
kama ukiniona nafurahi
jua ni jah ka-bless
na ukiniona najidai
jua ni jah ka-bless
we here today
uko tulipotoka
tulish-ga dondoka
sasa hivi tupo okay
we here today
wala hatujawahi choka
waliodhani tutasota
sasa hivi ndo hawana say
[pre-chorus]
hakuna noma, no kisirani
mwendo wa burudani, yeah yeah yeah
ushanisoma, kama kucheza uwanjani
unamwogopa nani, yeah yeah yeah
wacha waonge
si tunalindwa na baba, eh
ayeah, ayeah
atatushereke
stress, mawazo badae
aye aye
[chorus]
leo party after party
leo party after party
[verse 2]
binadamu hawakosi cha kusema
hata ukiwafanyia jema
bado watakukosea tena
na mungu baba kanipangilia mema
kanipa pumzi na neema
nami naiona nyota njema
[pre-chorus]
hakuna noma, no kisirani
mwendo wa burudani, yeah yeah yeah
ushanisoma, kama kucheza uwanjani
unamwogopa nani, yeah yeah yeah
wacha waonge
si tunalindwa na baba, eh
ayeah, ayeah
atatushereke
stress, mawazo badae
aye aye
[chorus]
leo party after party
leo party after party
letras aleatórias
- letra de shout out 3 (they believe in) - gee 3
- letra de skinny - moss (usa)
- letra de just wont chamm - ruben slikk
- letra de golden hour - heimish (헤이미쉬)
- letra de wb - savaqinz
- letra de lookin' in my eyez - ak-69
- letra de rimpianto (serenata) - claudio villa
- letra de hörst du mich - joachim witt
- letra de dreamin' - 40 shiesty
- letra de hey - nita