
letra de ndo basi - micjack
[verse]
sikudhani kwamba ghafla ungebadilika
ule upendo wako uko wapi (niuone)
leo uko wapi (niuone)
sijui hata cha kusema
watu wote wananiuliza
ulo tamba nae yuko wapi (tumwone)
leo yuko wapi (tumwone)
[bridge]
mbona umeniacha mi naugulia vidonda
upweke nao unanipa homa
na wakati unajua kwako napona
oooh naponaga
sili chakula nikashiba hadi nakonda
nashindia uporo ugali dona
hivi unaona raha mi unavyoniona natesekaga
[chorus]
haya mapenzi na mimi tena (ndo basi)
oh mimi (ndo basi)
ooooh oh yeah (ndo basi)
mmmh ye ye ye
ndo basi tena
(ndo basi) haya mapenzi ya kulialia (ndo basi)
nishachoka kuyavumilia (ndo basi)
oouwh basi
ndo basi tena
[verse]
mmh mmh mmmh
it’s kinboy just one more time
one more time now, one more time
siku hizi nakosa usingizi
bila we nimewaka usiku silali
wala siusikii muziki
sina wa kunifariji nyie labda jalali
hata siambiliki nikazama penzini k-mbe najenga ajali
leo naishia kuitwa rafiki
kinachoniumiza ye ndo wa kwanza k-mpenda ila kaamua kunivunja moyo
[bridge]
mbona umeniacha mi naugulia vidonda
upweke nao unanipa homa
na wakati unajua kwako napona
oooh naponaga
sili chakula nikashiba hadi nakonda
nashindia uporo ugali dona
hivi unaona raha mi unavyoniona natesekaga
[chorus]
haya mapenzi na mimi tena (ndo basi)
oh mimi (ndo basi)
ooooh oh yeah (ndo basi)
mmmh ye ye ye
ndo basi tena
(ndo basi) haya mapenzi ya kulialia (ndo basi)
nishachoka kuyavumilia (ndo basi)
oouwh basi
ndo basi tena
letras aleatórias
- letra de rasa - ance krauze
- letra de star hero - afterglow
- letra de something of my own - marina v
- letra de dlaczego milczysz? - makowiecki band
- letra de firestar - krokus
- letra de z'schpoot - baschi
- letra de 66 - dfideliz
- letra de il gorgo - consorzio suonatori indipendenti
- letra de i came all this way - the thrills
- letra de maidin luan chincíse - karan casey