letra de jinsi ilivo - michael magow
ay
ay
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo ilivo eh
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo ilivo
siwezi badilisha
ndio jinsi ilivo,ndio jinsi ilivo… eh
ooh no
nilikosa hamu ya kula lakini nikaishia kula marijuana
nilichukua bapa ile sehemu lakini nikaishia mix topalkana
nilisema sitaki tena cha ajabu nikaanza k-mpenda sana
ilitakiwa niende nae lakini ghafra sikuenda tena
nilikua bored lakini nikaishia kuandika dude kali ona
sikuwaza haya kweli mungu mkubwa nimepata zaidi ya haya
nipo kwenye kitu wimbi lakini najua watasema hichi kitu fire
nawashkaji kiga beach, washkaji mbezi beach
sasa hivi nawashkaji kila pande ya street
oh man tulikuwa watu kibao tumebaki baadhi
sio masihara imekua serious
sishangai wale wanataka be like us
yule hapendi wakati anatoka same place with us
i think i understand,nahisi ndio ivo ilivo
siwezi badili ndio jinsi ilivo,ndio jinsi ilivo
hey yeih yeih yeih yeih yeih yeih
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo ilivo eh
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo nilivo
siwezi badiliisha kitu
siwezi badilisha
siwezi badiliisha kitu
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo nilivo
siwezi badiliisha kitu
siwezi badilisha
siwezi badiliisha kitu
thats just the way it is
siwezi badilisha
jinsi ilivo
ni hali halisi
nahisi hivo ndivo ilivo
nahisi hivo ndivo ilivo
siwezi badili, siwezi badilii… hey
letras aleatórias
- letra de how so - kaveh kanes
- letra de all my ladies - viktoh
- letra de her baby - little soef
- letra de tu cu ea - mira
- letra de shallow soul - k the martian
- letra de ★going down!★ - scøøb (emo)
- letra de partie ii : time crisis - caballero
- letra de on fire - dream police
- letra de hometown - polygon cove
- letra de dance with me (live at the latern) - jaye bartell