letra de amini kwamba (ft sise) - mic gower
[intro] bomoka
culture language..
[verse 1] mic gower
game nimeanza nayo mdogo mdogo
tbt yangu ilikua msoto msoto
wakaniita mtoto, na game la kitoto
ila sasa na keti nakuelimisha vigogo
balozi kwa ajili yao, sitak longo
injili iko street man, usikaze ubongo
bwana ndiye mchungaji w-ngu, na sio ngono
kama nuru, kama mw-nga taa, ndo mwongozo
siwez kata tamaa, tamaa ya kukata sina
siwez mwacha mwanakondoo amenifia
kwa neema, rehema tele, nashangilia
napangilia kuishi maisha ya kristo pia
na ng’ang’ania nisije kuja potea njia
naangalia , nina malengo mia mia
naf-gilia yesu ndo jina kuu.. jina la kibabe
ndo maana sina makuuz
[chorus] sise
nilikua mnyonge, mnyonge mbovu sina kitu
ila mungu kaniokoa, sina hofu kitu
amini kwamba, yeye ni mkuu anaweza yote
na tena bwana, ni mshindi ye ananishindia
amini kwamba!
yeye ni mkuu, yeye ni nuru yangu
amini kwamba!
yeye ni mkuu, tena ni mshindi w-ngu
amini kwamba!
yeye anaweza, yeye anaweza
amini kwamba!
yeye ndiye mungu, yeye ndio mungu
[verse 2] mic gower
hip hope, i did it for kristo
naishi nje ya sheria, yesu kijito
dhambi mapito nimetupa milupo, (hukooo)
hiki ni vipi ni kiki man!?
nipe beat
i feel so great
coz my god is awesome
yes, my god is powerful
yes, my god is faithful
yes zaman ni painful
kwa neno lake am stay full
sijimix na wakush
niko fit bila wine
na represent for christ
i rap truth not a fraud, yah
i trust god not a lambo
amin kwamba tuko gado
tuna go race zaidi ya prado
tuko na yesu mwanzo mwsho
shetan anagwaya si kitoto,.
bwana nina kiu nawe
kokote nitembeapo
ndani yangu uonekane
na kisha wakujue
kwamba we ndie mfalmeee
[chorus] sise
nilikua mnyonge, mnyonge mbovu sina kitu
ila mungu kaniokoa, sina hofu kitu
amini kwamba, yeye ni mkuu anaweza yote
na tena bwana, ni mshindi ye ananishindia
amini kwamba!
yeye ni mkuu, yeye ni nuru yangu
amini kwamba!
yeye ni mkuu, tena ni mshindi w-ngu
amini kwamba!
yeye anaweza, yeye anaweza
amini kwamba!
yeye ndiye mungu, yeye ndio mungu, (x2)
letras aleatórias
- letra de lone wolf (intro) - ryan cole productions
- letra de shawty - madeintyo, royce rizzy & salma slims
- letra de são - guima
- letra de and so it goes - luísa sobral
- letra de bussdown - nick khronic
- letra de miny - futuryje
- letra de change freestyle - lurah
- letra de street fighter - key!
- letra de all wit my hands - curren$y
- letra de holding back - radney foster