letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de fungua macho - mercy masika

Loading...

wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia

wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
sauti ya shaka, sauti yasema
hatutasimama, hatutaendelea
na sisi twasema, tutasimama
mungu yuko upande wetu
mkristo simama!

fungua macho
uone jeshi la malaika
limetuzingira
fungua macho
uone jeshi la malaika
tutashinda vita

wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
mawazo ya shaka, mawazo yasema
hatutashinda, hatutaendelea
na sisi twasema, tutashinda
mungu yuko upande wetu
tutasimama!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...