letra de weh decide - mejja
producer khrome, okwonko
we niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
we niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
(verse 1)
unathani bila wee hatuezi ishi, newsflash tutaishi fiti
tutakusahau ka kamisi na memory tutoe kwa akili
unabehave nika wee hatuna option pia sisi hio ni caution
ka si huruma singekua na wewe usipochange itabidi nitembeze
last chance eti “last chance” last chance tuliacha last year
iyo ndo ufala mi staki kuskia, usipochange kanyaga
(hook)
we niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
we niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
we decide ka utachange sina iyo time sina iyo ithaa
we niambie ebu decide sina iyo time
(verse 2)
unanithreat unanithreat utaniacha si uniache
unatuthreat utaacha kazi si uache unathani tunajali
ujinga nikudhani bila wewe hatutasonga tunasonga
ujinga nikudhani bila wewe hatutaomoka tunaomoka
we ni dumb didididi so dumb you so dumb
hii dunia sio yako pekee you so dumb
utastuka ka unangoja nikufwate usipochange kila mtu njia yake
(hook)
we niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
we niambie ebu decide sina iyo time iyo ithaa
we decide ka utachange sina iyo time sina iyo ithaa
we niambie ebu decide sina iyo time
letras aleatórias
- letra de animal - ph0ton
- letra de 36 великих (36 great ones) - ю.г. (yu.g.)
- letra de the war's not over!!! - the disciplines
- letra de tekken 2 - bombay bicycle club
- letra de sidewalk chalk - trevor cooke
- letra de nu när vår tid står still - almo (swe)
- letra de flight and destruction - embaci
- letra de insomniac - paxton rutherford
- letra de steven vs sans - mr. jay (rb)
- letra de better things (snack version) - aespa (에스파)