
letra de tabia za wakenya (kanairo) - mejja
[intro]
okwonko
vicky pon dis
[verse 1]
karibu kanairo, karibu kenya
kuja nikushow vako za wakenya
tuna talanta ya kucheki weather
“hio jua, hio jua ni ya mvua, na ni kali”(ayy) “niko sure”
ukiwa kejani uskie ume-boeka
ukiona memes unaanza kucheka, hio ni kenya
bahati yako mbaya ukichoma picha
utapewa hashtag (ayy) hapo twitter “uta trend”
customer kenya ndio husema “asanti” (asanti)
na ni yeye amelipa, na aseme asanti badala ya muuzaji (ayy)
[chorus]
karibu kenya, tuna tabia zetu tu (tu)
karibu kenya (ah ah ah)
si maasai mara tu (tu)
tuna madem peng (peng)
mamorio mabazeng (mabazeng)
lugha ya taifa ni sheng (sheng)
karibu kenya
tuna madem peng (peng)
mamorio mabazeng (mabazeng)
lugha ya taifa ni sheng (sheng)
kanairo
[verse 1]
kanairo, tabia ya wakenya ya kutuma mail
“ulituma mail?” “buda nilituma, kwani haukuiona?” hio ni uongo
customer kenya akisema “nitarudi”
kila mkenya anajua, huyo harudi
mkenya akienda choo na aone kuna mtu
bado atabisha na aulize “kuna mtu?”
masaa na mkenya lazima atachelewa, sana (sana)
lakini sherehe tunafika mapema (tena sana)
na tunateta umetuweka (ayy)
[chorus]
karibu kenya, tuna tabia zetu tu (tu)
karibu kenya (ah ah ah)
si maasai mara tu (tu)
tuna madem peng (peng)
mamorio mabazeng (mabazeng)
lugha ya taifa ni sheng (sheng)
karibu kenya
tuna madem peng (peng)
mamorio mabazeng (mabazeng)
lugha ya taifa ni sheng (sheng)
kanairo
[verse 2]
excuse ya mkenya akikunyima pesa
atadai “buda i wish ungenipigia mapema, hauwezi imagine, nilikuwa na hio pesa nikatumia mother, saa hii, saa hii tu”
ukikuja kenya heshimu watu watatu
akina nani? mwizi, polisi, kegonyi wa matatu
kwa nini? uliza mkenya, atakwambia sababu
tunapenda sherehe ah
tunapenda mneti (yo)
watoto wa kenya ni warembo (ayy)
watoto wa kenya ni ma pengting
[chorus]
karibu kenya, tuna tabia zetu tu (tu)
karibu kenya (ah ah ah)
si maasai mara tu (tu)
tuna madem peng (peng)
mamorio mabazeng (mabazeng)
lugha ya taifa ni sheng (sheng)
karibu kenya
tuna madem peng (peng)
mamorio mabazeng (mabazeng)
lugha ya taifa ni sheng (sheng)
ah kanairo
letras aleatórias
- letra de trying - jeiku (louisiana)
- letra de corpse bride - eyeblind
- letra de pick and choose!!? - cselikx, qwociz
- letra de 3 po 3 - biba & nikolija
- letra de non vi maravigliate - pauline viardot
- letra de auf wiedersehen to crossmaglen - the irish brigade
- letra de thrilling sickness - eneme (band)
- letra de heaven - partyball
- letra de umarme meine seele - jörg eschrig
- letra de kannst du dir vorstellen - steintor herrenchor