letra de siskii - mejja
[intro]
okwonko, yeah
(mavo on the beat)
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
[verse 1]
mbele ya watu ni mpole, very calm
lakini looks are deceiving, usitake k-muona ka amejam (ayy)
dodge dodge, dodge sahani, dodge hepa, dodge vikombe
dodge “mboch! ita ma-souldier”
pengting anataka kuniua, ah aki babe utaniua “sijali”
babe si upunguze kisirani, unachoma picha kwa jirani
“i don’t care”
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
[verse 2]
manzi yangu yе’ ni boxer, anajua mpaka kung-fu
nimeshindwa k-mtoka ye’ ni kichwa ngumu
manzi yako anakaaga mpolе (-laughter-) usifanye mi nicheke
baby face isikuingize, huyu ni stima, huyu ni nare
juzi nilimuambia simtaki, akaanza kisirani
“nitajiua, nitakunywa harpic”
nikamrudia ju ya ku-panic, ayy
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
[verse 3]
martha anataka nimuache
maboyz wanataka nimsare
mpaka number yake nime-block, adi ig n’takushow
alipiga na number sijuii, ki-undani nikaskia nimefurahi
kidogo nikaskia amedai “aki babe, nataka kukuona one, last, time”
akakuja amevaa mini, akanichanganisha akili, nikamnyandua tukarudiana (ayy)
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote
letras aleatórias
- letra de gonna have a happy new year - pete the cat
- letra de home alone outro - sunshine christo
- letra de jail freestyle - twxwks
- letra de alles wird gut - genetikk & mortel
- letra de lshoja zanin - yll limani
- letra de cisza - qry
- letra de tic tac - matrixé comme démon
- letra de little bird - s.e.s.
- letra de sick and tired (2014) - jerry lee lewis
- letra de taxi - octi