letra de punguza ego - mejja
okwonkwo
mavo on the beat
[chorus]
nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego
nilikuwa napenda sana form za ego
nimepoteza vitu mob, juu ya ego
ako ka ego, ah punguza ego, e-ego, ah
[verse 1]
nilikuwa na dem nilikuwa napenda sana
aka kadem nilijua tutaoana
nilishtuka vile tuliachana, juu ya ego, ah
tukikosana, singekubali kuwa wa kwanza kupiga simu
nikisikia kupiga, karoho kananiambia “usipige”
ah, saa niko single, ah juu ya ego
nilingoja anipigie, alichoka akapigia chali mwingine
imagine ningeweka ego chini, nipige simu ningekuwa na bibi
imagine nilichagua ego, na hiyo life ikanihumble, haha
[chorus]
nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego (ego)
nilikuwa napenda sana form za ego (ego)
nimepoteza vitu mob, juu ya еgo
ako ka ego, ah punguza ego, e-еgo, ah
[verse 2]
a rich man’s joke is always funny, so funny
tunacheka na unabore, we just want your money, ha-ha your money
tunapapasa ego, ndio utoboke mf-ko
tukule pesa yako tukimaliza tukuwache pekee yako, ah
ni juzi tu manze ulienda dubai, ukikuja kenya eh unajidai
“is it safe? huko umo ni safe?”
mmmh si ulizaliwa huko, punguza tumaringo
acha ka ego, msupa kabla life ikuhumble, ah
[chorus]
nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego
nilikuwa napenda sana form za ego
nimepoteza vitu mob, juu ya ego
ako ka ego, ah punguza ego, e-ego, ah
letras aleatórias
- letra de bütz mich hück naach - paveier
- letra de bem nessa - da guedes
- letra de умер (umer) - skabbibal
- letra de the twin revelation - shadow of intent
- letra de talk of the town - easy action
- letra de semana passada - selvagens à procura de lei
- letra de restitution - great awakening
- letra de deadly freestyle - in the panchine
- letra de we gotta have it all - rondé
- letra de rusty - marike jager