
letra de sitaki - mbosso
[verse 1]
mimi wewe mimi ntakufa na wewe
mimi wewe mimi ntakufa na wewe
ni baraka za mungu za malaika
zimefanya mi nawe tujuane
sinashaka maana imeandikwa
ndege warukao wafanane
sisikii la muadhini wala la mnadi swala
tumelishana yamini kwa dua sio kafara
sio wanyuzi tisini wala buku shidala
mambo yakuzini zini tuwe halali twahara
[pre-chorus]
kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza
[chorus]
na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
[verse 2]
ngamia w-ngu anifaae jangwani
nimemuombea dua tusiishie njiani
ngamia w-ngu anifaae jangwani
nimemuombea dua tusiishie njiani
ooh usingizi w-ngu zeze la kitandani
nimemuombea dua tusiishie njiani
ngamia w-ngu anifaae jangwani
nimemuombea dua tusiishie njiani
[pre-chorus]
kama mapеnzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza
[chorus]
na sitaki nishauriwе, sitaki nishauriwe
na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
[outro]
aiih makopa kanimwagia makopa jama
(aiih makopa kanimwagia makopa jama)
aiih makopa kanimwagia makopa jama
(aiih makopa kanimwagia makopa jama)
ma ma ma ma kanimwagia makopa jama
(aiih makopa kanimwagia makopa jama)
mwa mwa mwa kanimwagia makopa jama
(aiih makopa kanimwagia makopa jama)
letras aleatórias
- letra de technicolor - paloma faith
- letra de only with you - alicia keys
- letra de salvação - louvor sem fim
- letra de descansarei - etiene
- letra de prrum - zion
- letra de mudando o roteiro - amanda ferrari
- letra de você não tem ritmo - phineas e ferb
- letra de tapa na cara - marcus vitta e daniel
- letra de eu sinto seu cheiro - stefhany
- letra de tu és fiel - prisma brasil