
letra de pawa - mbosso
[verse 1]
kamusi namaliza kurasa kukusifia
matusi naiona basata wakinifungia
theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia aah
mjusi ukuta wa plasta nauparamia
[pre chorus]
na kama penzi ni chupa la bia
nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia
kwa maana we mlezi na unanijulia
hawana hawawezi pakukuibia dear
[chorus]
pawa pawa
naishiwa pawa
penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
pawa pawa
naishiwa pawa
penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
[verse 2]
nilifeli secondary kwendaga chuo
ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo
yeremia mstari ni funue ufunuo oooh
nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo
[pre chorus]
na kama penzi ni chupa la bia
nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia
kwa maana we mlezi na unanijulia
hawana hawawezi pakukuibia dear
[chorus]
pawa pawa
naishiwa pawa
penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
pawa pawa
naishiwa pawa
penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
letras aleatórias
- letra de chỉ cần có em - dương edward
- letra de enemies - miko (nor)
- letra de ride - chris vos
- letra de despite - blue vedder
- letra de lamentavel 9vinha di verdade - lüh natik
- letra de nauseous - 2hollis
- letra de cowboy - xlson137
- letra de this year - rich cronin
- letra de rooftops - emeka
- letra de de put - off-centre