
letra de ololo - mbosso
[intro]
mr lg
[verse 1]
nimefanya survey
jiji lako liko salama
umenitoa hofu mashaka (shulala sholele)
moyo upo bombay
mwili upo dar es salaam
hisia zimevuka mipaka (shulala sholele)
[hook]
raha zimefatizana, utamu sukari tele
mwilini tukipapasana, zinanisimama nyele
raha zimefatizana, utamu sukari tele
(mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele)
[pre-chorus]
oka tafadhali, usiniache kwenye hii safari
usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari
tafadhali, usiniache kwenye hii safari
usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari
[chorus]
olala, ololo, olala, ololo, ololo
(olala, ololo, olala, ololo, ololo)
olala, ololo, olala, ololo, ololo
(olala, ololo, olala, ololo, ololo)
[verse 2]
baby watazame wale, hawali wakashiba
wanakesha kuroga tuachane
kwetu mambo narenare, raha sio kawaida
wenye presha na pumu ziwabane (hmm)
mapеnzi uji wa moto (wa moto)
puliza me nikoroge (nikoroge)
kisha nifanyе kama mtoto (mtoto mdogo)
unibebe nikaoge
[hook]
raha zimefatizana, utamu sukari tele
mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
raha zimefatizana, utamu sukari tele
(mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele)
[pre-chorus]
(oka tafadhali) tafadhali mpenzi
(usiniache kwenye hii safari) peke yangu siwezi
(usiende mbali) siwezi, siwezi mpenzi
(mi mgonjwa we ndo daktari)
tafadhali (tafadhali mpenzi)
usiniache kwenye hii safari (me peke yangu siwezi)
(usiende mbali) chonde mpenzi
(mi mgonjwa we ndo daktari) chonde mpenzi, chonde, chonde
[chorus]
olala, ololo, olala, ololo, ololo
(olala, ololo, olala, ololo, ololo)
olala, ololo, olala, ololo, ololo
(olala, ololo, olala, ololo, ololo)
[outro]
(kamix lizer)
letras aleatórias
- letra de funk soldier - suté iwar
- letra de belhadawa | بالهداوة - nancy ajram
- letra de body - lil nigga
- letra de venus - destinybratz
- letra de polarity - bound in fear
- letra de ремень (belt) - вульф (vulf) & ordinary
- letra de my future bride - kay-festival
- letra de booty control - trap beckham & erica banks
- letra de beat it - simba lorice
- letra de guacamole - bee bee sea