letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nusu saa - mbosso

Loading...

[intro]
ayoo lizer

[verse 1]
nina hadithi ya mapenzi ngoja nikuhadithie
kwenye yangu matembezi nusu kufa nizimie
ushaona mtoto bila malezi ndo nilikuaga mie
moyo niliwapa wezi matapeli waniibie

[pre chorus]
sasa inatosha nimesahau
tangu nikupate wewe naiona angalau
sasa imetosha nimesahau mimi
tangu nikupate wewe naiona angalau

[chorus]
robo saa, haitoshi nusu saa
hata masaa, suchoki kusema na wewe
robo saa, haitoshi nusu saa
hata masaa, suchoki kusema na wewe

[verse 2]
deka unavyodeka kama mtoto
nitakubembeleza mi ni wako oooh
nitazidi kupa vitu moto moto ooh
mapenzi kupendana si mchezo oooh
uuuhuuuu
nilimaliza na waganga waganguzi miti shamba
k-mbe mapenzi ni karanga zinapikwa na mchanga
[pre chorus]
sasa inatosha nimesahau
tangu nikupate wewe, naiona angalau
sasa imеtosha nimesahau mimi
tangu nikupate wewе naiona angalau

[chorus]
robo saa, haitoshi nusu saa
hata masaa, suchoki kusema na wewe
robo saa, haitoshi nusu saa
hata masaa, suchoki kusema na wewe

[outro]
nainua mkono mama kitambaa cheupe
ishara ya mapenzi mama ooh zipora
wewe nami zipora mama, ua langu la moyo
haya yote tisa tu moja jaza peke

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...