
letra de nipepee - mbosso
[verse 1]
hewallah, mungu kanipa nilichomuomba
mashallah, raha
na wala, si shriki huba tulimenisomba
nala nalala, jamani rahaa
ntakulinda kwa kunuti
nitapigana jihadi
pendo liwe madhubuti
wasiingie waganga
wapambe vigurushuti
wape chai kwenye jagi
yetu tamu biscuit
wasitie mchanga
[pre chorus]
penzi letu basikeli kaa bomba la mbele
pia, ulipige mabusu
liwachome kwelikweli wenye viherehere
pia, wakome yasowahusu
[chorus]
baby zima feni (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
leo zima feni (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
zima niyoyozi (nipеpee)
nimeleta kipepеo unipepee
zima feni (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
[verse 2]
tuoge ya vuguvugu
maji ya baridi siyawezi
si unanijua
nnaugonjwa wakutetemeka
nisugue sugusugu
ongeza zaidi kunienzi
kuneng’emua
kwa ngonja pita njopeka
fanya nizidi nkupende
niwe wapeke yako daima
iwe bigwa mwalusembe
shamba langu lako nalima
huba tufunge ngengenge
tuwape na viapo karma
ili wakupiga denge
tamu pendo wasitie sumu
[pre chorus]
penzi letu baiskeli kaa bomba la mbele
pia, ulipige mabusu
liwachome kweli kweli wenye viherehere
pia wakome yasowahusu
[chorus]
baby zima feni (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
leo zima feni (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
zima kiyoyozi (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
zima feni (nipepee)
nimeleta kipepeo unipepee
[outro]
ntakulinda kwa kunuti
nitapigana jihadi
pendo liwe madhubuti
wasiingie waganga
letras aleatórias
- letra de dependente desse amor - divan e renato
- letra de vem pra caixa - depois do fim
- letra de história do leproso - simone de castro
- letra de tentaremos a segunda vez - grupo rara magia
- letra de aonde errei - colaterall
- letra de da ralé - curimba
- letra de don't you remember - vampire diaries
- letra de sinal de vitória - suelen fernandes
- letra de purpose for pain - scott stapp
- letra de nanika hitotsu - jamosa