letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de maajab - mbosso

Loading...

nana na naaa
naa nana naaa na
naa nana naa na
naa naa nana

moko mokooo

imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
wallah kanipatia, anastahili sifa
chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa

ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafu
nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab, penzi lake la ajab
maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab
maajabu maajabu, penzi lake la ajab
maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab

kifuani hunipaka halua, mikono tende an-z-chambua
anilamba
kitandani humwaga maua
mingine hata chembe sikuwa najua
anitoa ushamba
na nitake nini kwake ? niombe nsipewe
iwe pemba ama chake chake, nichague mwenyewe
kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe
mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe
libandike penzi kama gazeti walisomе
tuwaadabishe sangara shombo vibetwe tuw-ng’ong’е
nikila nilishe chapati za alizeti ninone
tuwafungishe midomo uzi cement tuwashone
ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafu
nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab, penzi lake la ajab
maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab
maajabu maajabu, penzi lake la ajab
maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab

ayo laizer
wasafi

halua halua, hunipa vitamu laini laini
halua halua kinyama cha hamu, uhondo utosini
halua halua sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimi
halua halua napewa hadi vya miko sasa nitake nini

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...