letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de limevuja - mbosso

Loading...

oooh, oooh maya aah
(nusder)

si umesema mi baniani mbaya
na uwepo w-ngu kwako sio dawa, haya aah
penzi nikashona tenzi na riwaya
kwenye moyo wako livae liwe sawa, limepwaya

napuliza majivu maana moto siuoni
kooni maumivu vumbi larudi machoni
ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni

imeniponza huruma kirungi
kujitisha k-msaidia
k-mbe katoboa mtungi
maji yananimwagikia

penzi limevuja tena
penzi limevuja tena
penzi limevuja tena
penzi limevuja tena aah

ulisema sikiwambaza
penzi letu ukuta wa chuma
nikitoka kiwalaza
utanistiri nywele za nyuma
mara kwa mara ulilia
kifuani umenilalia
ukijuta unayachukia
yale ulopitia

eti kama mimi hujaona
wa kufanana naye
asa mbona hukusema
kama ushakutana naye

napuliza majivu maana moto siuoni
kooni maumivu vumbi larudi machoni
ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni

imeniponza huruma kirungi
kujitisha k-msaidia
k-mbe katoboa mtungi
maji yananimwagikia

penzi limevuja tena
penzi limevuja tena
penzi limevuja tena
penzi limevuja tena aah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...