letra de kadada - mbosso
kadada kamenona
nyuma kameumbwa kameshona eeh
kadada kamenona
nyuma kameumbwa kameshona eeh
(it’s s2kizzy beiby)
nataka niimbe na wewe
leo unisikilize kadada
chonde dedede
dede moyo nitulize kadada
kama ikiwa ya moto
nipe nipulize kadada
mimi bwegege
gege kwako nimalize kadada
eey akisema afungue duka kadada
we ona watu wataacha change
utajikuta unachoma pesa tu baba
watu wanateleza kizenji
sura ya kisomali
shepu nyama nyama tele (tele)
chachandu kachumbari
namchomea tetere (tele)
putururu mson0bari
namfungia kwa mbele (mbele)
kulia nina rosary
kushoto fundo la ndele (ndele)
adana, taratibu usinikimbize basi
adana, mi mnyonge sijazoea gasi
mungu kamuumba kadada, kadada
(na mungu kazi ya kuumba anajua)
mungu kamuumba kadada, kadada
(kisura kama jua linatua)
mungu kamuumba kadada, kadada
(vile nina kipini cha pua)
mungu kamuumba kadada, kadada
(mmmh amazing, amazing)
kadada kamenona
nyuma kameumbwa kameshona eeh
kadada kamenona
nyuma kameumbwa kameshona eeh
akiba ana nywele
ama akiziachia (kadada kadada)
unalewa bila kunywa
akikuangalia (kadada kadada)
anataka kunipa ajifanye mchoyo
hata kuniendesha endesha kitoyo
anavyotingisha tingisha yoyoyo
hata kunidatisha datisha nifollow
kwa kupendeza kama anakomoa
hata mademu wenzake marks wanatoa
mwana haj-paka make-up kapoa
sasa usimkute ameshajipodoa podoa
kingine nampendea mtu wa fashion fashion
mambo flani flani ya kisasa
subiri uone action action
akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa
sura ya kisomali
shepu nyama nyama tele (tele)
chachandu kachumbari
namchomea tetere (tele)
putururu mson0bari
namfungia kwa mbele (mbele)
kulia nina rosary
kushoto fundo la ndele (ndele)
adana, taratibu usinikimbize basi
adana, mi mnyonge sijazoea gasi
mungu kamuumba kadada, kadada
(na mungu kazi ya kuumba anajua)
mungu kamuumba kadada, kadada
(kisura kama jua linatua)
mungu kamuumba kadada, kadada
(vile nina kipini cha pua)
mungu kamuumba kadada, kadada
(mmmh amazing, amazing)
kadada kamenona
nyuma kameumbwa kameshona eeh
kadada kamenona
nyuma kameumbwa kameshona eeh
kingine nampendea mtu wa fashion fashion
mambo flani flani ya kisasa
subiri uone action action
akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa
(ka mix lizer)
letras aleatórias
- letra de désolé - vega4lov
- letra de respira - tnt (prt)
- letra de vikend - omgblondi
- letra de si no estoy perdón - angeluve
- letra de hat trick - superp0s
- letra de n_g スペシャルメドレー - genic
- letra de let's try not to fight - backyard beetle
- letra de jailbird - vivienne wilder
- letra de mahiya - superheavy
- letra de night owl - my name is alex