
letra de wivu - maua sama
[verse 1 : maua sama & aslay]
vimambo vyangu natupa kule
sinegeng’eneki nikafa bure
kwako ni mfu msukule
kwa baby yake piga kelele
mi hali yangu mbona shwari baby wee
niko jikoni nasonga ugali
uje ule baba we
roho yangu safi mungu kanipa
ninachotaka kwa wakati na, enjoy
sitaki kuwa mswati nimeridhika
michepuko na mwendokasi bye bye
[pre chorus : maua sama]
mpaka naunguza mboga
ayo maneno yako yalivyokuwa matam
nahisi kuwa muoga maana nina wivu
na ndo ushanshika patamu
[chorus : maua sama & aslay]
wanajua tunavyopendana
mi nawe wanaona wivu
ah tunavyopendana
wanajua tunavyopendana
mi nawe wanaona wivu
ah tunavyopendana
wanajua nilivyoshibana nawe
ndo mana wanaona wivu
tunavyopendana oh oh oh
wanajua tunavyopendana
me na we wanaona wivu
tunavyopendana
[verse 2 : maua sama & aslay]
ntafuga kijini nkuroge usitoke yani
uwe na mimi tu ndani
uwe na mimi mwandani aii wewe
nshakolea penzi me nipo mahabani
sipingi sibishani
we ndo wakw-ngu mimi nielewee
uzuri hutaki pochi, hutaki noti
na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti
benzema mess pasi kwa pasi mi na wewe
[pre chorus : maua sama]
mpaka naunguza mboga
ayo maneno yako yalivyokuwa matam
nahisi kuwa muoga maana nina wivu
na ndo ushanshika patam
[chorus : maua sama & aslay]
wanajua tunavyopendana
mi nawe wanaona wivu
ah tunavyopendana
wanajua tunavyopendana
mi nawe wanaona wivu
ah tunavyopendana
wanajua nilivyoshibana nawe
ndo mana wanaona wivu
tunavyopendana oh oh oh
wanajua tunavyopendana
me na we wanaona wivu
tunavyopendana oh
[outro : maua sama]
tunavyopendana
letras aleatórias
- letra de concha acústica - la mente
- letra de about her - rocket rockers
- letra de 1night - lil yachty
- letra de mr. wonderful - joey bada$
- letra de dame un besito - silvestre dangond & juancho de la espriella
- letra de take me to church - casi joy
- letra de 兩人份的幸褔 - 王心凌
- letra de non-album track - less than jake
- letra de driveway birthday - milk teeth
- letra de chatanooga choo choo - glenn miller