
letra de vimba - maua sama
[verse 1]
usiku hulali unaumia tena unawaza
kukicha maswali na stress umejaza
inaniumiza kukuona unaumia wewe baba
najua unanipenda
ila unawaza labda nitakimbia
kisa mimi ni star ndo unahofia labda nitakimbia
[pre chorus]
nimeridhika mimi (aaah aaah)
na hali yako hiyo (aaah aaah)
nataka uvimbe baby (aaah aaah)
mi ni wako pekee (aaah aaah)
[chorus]
vimba vimba vimba (kama unanipenda)
vimba vimba vimba (amini unapendwa)
vimba vimba vimba (watu waoneshe)
vimba vimba vimba uuuuhhh
[verse 2]
tambua kipaji kanipa maulana ni karama
unaponyong’onyea unaniumiza sana ooh bwana
tena unatetemeka (tetee)
ukiniona unasita, kijasho kinakutoka (mmmh)
wanipa raha, si masikhara, dhahiri nasema
twende kwa baba mzee sama
tumalize biashara
najua unanipenda
ila unawaza labda nitakimbia
kisa mimi ni star
ndo unahofia labda nitakimbia (yeeea yeiyaaeh)
[pre chorus]
nimeridhika mimi (aaah aaaah)
na hali yako hiyo (aaah aaaah)
nataka uvimbe baby (aaah aaaah)
mi ni wako pekee (aaah aaaah)
[chorus]
vimba vimba vimba (kama unanipenda)
vimba vimba vimba (amini unapendwa)
vimba vimba vimba (watu waoneshe)
vimba vimba vimba
letras aleatórias
- letra de phone - rari kari
- letra de i survived the chair - the vidablue
- letra de не молчи (don't be silent) - совергон (sovergon)
- letra de dèjá vu - miren
- letra de little minders of you - fresh oil and chips
- letra de lowest low - kidkira22
- letra de get you the moon - xunters
- letra de chrme hrts - 248betz
- letra de easily (alternate mix) - daniel johann
- letra de milion cest - the mag & hyny the kid