letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tomorrow - maua sama

Loading...

[verse 1]
akili haitembei, ubongo ume’scratch unakwama kwama
moyo ume’delay nikitamani usiende mbali
upweke nao kw-ngu umekuwa jirani
mi mtumwa wa penzi lako imenitoka imani
kweli umeniweza
ni kama ndumba umenitengeneza
nashindwa sema kujieleza
moyo kupenda na kujitesa mwenyewe

[pre chorus]
ama hisia zangu haziongei
hunielewi ninachotaka
hizo zunguusha delay
si useme basi nikuite kaka

[chorus]
nangoja tomorrow (aaaeeeh)
nangoja tomorrow (aaaeeee)
leo giza totoro (aaaeeehhh)
totoro totoro
nangoja tomorrow (aaaeeeh)
nangoja tomorrow (aaaeeee)
leo giza totoro (aaaeeehhh)
ndo utaja nirudhia (aaaee yaaah)
[verse 2]
umevuruga mito nyendo sina
nakosa maneno kinywa kimya
wanipa mateso unavyoringa
kama penzi lako levi niko tilalila
mara subiri tena unanichana don’t feel alone ukweli nambie
kama mimi najidanganya toto na koni sorry nambie
umeniweza
ni kama ndumba umenitengeneza
nashindwa sema kujileza
moyo kupenda ana kujitesa mwenyewe

[pre chorus]
ama hisia zangu haziongei
hunielewi ninachotaka
hizo zunguusha delay
si useme basi nikuite kaka

[chorus]
nangoja tomorrow (aaaeeeh)
nangoja tomorrow (aaaeeee)
leo giza totoro (aaaeeehhh)
totoro totoro
nangoja tomorrow (aaaeeeh)
nangoja tomorrow (aaaeeee)
leo giza totoro (aaaeeehhh)
ndo utaja nirudhia (aaaee yaaah)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...