
letra de poa - maua sama
[verse 1 : nandy]
eti nilie mara ni nune kisa kuachwa
mnao subiri nitoe machozi si tuko hapa
unampenda mtu hakupendi kuvuja kwa pakacha
sipangiwi ratiba na mtu mapenzi takataka
[pre chorus : nandy]
saa hivi bila beat nakwenda hata acapella
eti nisile tonge kuna jitu linanikera
story za mapenzi sitaki nataka za hela
ndo maana hata vanessa aliimbaga tu kisela
oh yeah
[chorus]
poa tu (eh) mi niko poa tu (eh)
mwenzenu poa tu
yaani unipepende usinipende mi niko poa tu (eh)
mi niko poa tu (eh)
mwenzenu poa tu (eh)
poa tu, poa tu
poa tu, mwenzenu poa tu
[verse 2 : maua sama]
kuchii kuchii ho tae (hotae)
ninachojua sitozikwa nae
hizo sweety sijui bae (ebae)
kazipeleke mumbai (mumbai)
[pre chorus : maua sama]
saa hivi bila beat nakwenda hata acapella
eti nisile tonge kuna jitu linanikera
story za mapenzi sitaki nataka za hela
ndo maana hata vanessa aliimbaga tu kisela
oh yeah
[chorus]
poa tu (eh) mi niko poa tu (eh)
mwenzenu poa tu
yaani unipepende usinipende mi niko poa tu (eh)
mi niko poa tu (eh)
mwenzenu poa tu (eh)
poa tu, poa tu
poa tu, mwenzenu poa tu
[outro]
eh, eh
yaani unipepende usinipende mi niko
eh, eh
letras aleatórias
- letra de estrada de morte - n o c t i s
- letra de truth and lies - moot booxlé
- letra de saline serpentines - cisalo
- letra de nowhere - sphum
- letra de fever - lime garden
- letra de te extraño mas ke la xuxa - fuka
- letra de ยังคงสวยงาม (when the film's over) - tilly birds
- letra de papumpaia - pat c.
- letra de maximum - alien.26, padrez pablo
- letra de je rêve de toi - d. migdilix