
letra de main chick - maua sama
{verse 1]
pole pole usiniibie penzi ya habiby
mwanzo mwisho nitabaki nawewe kipenzi
gime, gime love my baby, touch me like this
everyday i feel safe kuwa nawe
you got me up high
unanipa kile nataka nafurahi yeah
uwatoe nishai wote waliotaka mimi nawe tuachane
{chorus]
and i feel alive
ulikuwa wapi all the time
penzi usiogope fame dunia yetu mi na we
tuwe wote kila sehem
i wanna be your main chick
nakupenda, nakupenda
i wanna be your main chick
nakupenda, nakupenda
or lеt me be the main chick
nakupеnda, nakupenda
i wanna be your main chick
nakupenda, nakupenda
{verse 2]
nakupa jina wendo mume w-ngu
weni nyongomkalia ini langu
nafsi yangu imeridhia
sitokimbia
nitazikwa nawewe
pole pole usininyime penzi laazizi
tujinome raha ya mapenzi
tufurahi
you got me up high
unanipa kile nataka nafurahi yeah
uwatoe nishai wote waliotaka mimi nawe tuachane
{chorus]
and i feel alive
ulikuwa wapi all the time
penzi usiogope fame dunia yetu mi na we
tuwe wote kila sehem
i wanna be your main chick
nakupenda, nakupenda
i wanna be your main chick
nakupenda, nakupenda
or let me be the main chick
nakupenda, nakupenda
i wanna be your main chick
nakupenda, nakupenda
letras aleatórias
- letra de my girl (feat slim boy e ch) - allaz vizzy
- letra de jet thornberry, the tazmanian devil - jet 2
- letra de a.k.a. i-d-i-o-t - the hives
- letra de work out - progressive house
- letra de listen - corty b
- letra de perereca não pode parar - mc gw
- letra de one of the brightest stars - live from the garden shed - james blunt
- letra de old soul complex - a.l.g.
- letra de anxiety attack - clyde cyrus
- letra de oh no - jelani