
letra de keep quiet - maua sama
[verse 1]
hizi simu za asubuhi, basi atakuwa babe
ama ndo danga jipya, fupi lenye matege
eti siku hizi najishauwa, ebu punguzeni ngebe
wakipanga kunishusha, basi yesu nibebe
aah, nimehama mbagala
shoga yangu, nipo sinza madukani
nakaribia kwenda uturuki
mi si nitarudi mwakani
[pre chorus]
zile picha zangu mlosema za utupu
si zimenipa professor?
amenipa gari, naendesha
ona ninavyowatesa
[chorus]
basi shhhhiiii, keep quiet
hayo ndo maisha yangu
si mnasema nadanga?
basi nyie sio level zangu
basi shhhhiiii, keep quiet
haya ndo maisha yangu
si mnasema nadanga?
basi nyinyi sio level zangu
[hook]
zombie
ohooo oohoooo
ohooo oohoooo
ohooo oohoooo
[verse 2]
choocha choocha, wanakuchocha
ujanja w-ngu, me sishindani na wakimboka
level zetu hazifanani, unajichosha
unataka ushindane na nani? ndo nakupasha
aah, nimehama mbagala
shoga yangu, nipo sinza madukani
nakaribia kwenda uturuki
mi si nitarudi mwakani
[pre chorus]
zile picha zangu mlosema za utupu
si zimenipa profеssor?
amenipa gari, naendesha
ona ninavyowatеsa
[chorus]
basi shhhhiiii, keep quiet
hayo ndo maisha yangu
si mnasema nadanga?
basi nyie sio level zangu
basi shhhhiiii, keep quiet
haya ndo maisha yangu
si mnasema nadanga?
basi nyinyi sio level zangu
[hook]
zombie
ohooo oohoooo
ohooo oohoooo
ohooo oohoooo
[outro]
mumy usijali, mumy usijali, mumy usijaliiii!
letras aleatórias
- letra de ürək dostum - lalə məmmədova
- letra de let it bleed (for iggy) - spiritualized
- letra de go shortly - sapient
- letra de otra vez bien borracho - los inquietos del norte
- letra de junior detectives club - monty harper
- letra de 그때의 우리보다 지금의 내가 (than us) - 4men
- letra de carnage - knight ninja h
- letra de ninth commandment (remastered lyrics) - johnnascus
- letra de 6th - knight ninja h
- letra de p9 freestyle - lil burst (m22)