letra de baba jeni remix - maua sama
[intro: nay wa mitego]
the true boy is in the building
baba jeni
nipo na mama jeni
sama
[verse 1 : maua sama]
hivi we hufikiri hufikiri
kuwa nawe siwezi
kweli siwezi
kukupa moyo
eti tuwe wawili wawili
hizo share siwezi
kwenye mapenzi utaniumiza moyo
kwanza unanionaje
pisi kali yakwenda
tena nina jina mimi
nakuhifadhi unavimba, unavimba
[pre chorus : maua sama]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus : maua sama]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
[verse 2 : nay wa mitego]
mama jeni relax
listen to me baby
oh baby
haimaanishi sijamuona mwengine ila nakupendaga wewe
(nakupendaga wewe)
oh baby
nipo tayari niache mambo mengine ili mradi nitulie nawe
(nitulie nawe)
skia “mama jeni”
kipindi nakutoa kwenu mama jeni kwanza ulikuwa mshamba (mshamba)
leo unaniona me sio size yako kisa umejua kudanga
kama ni u-star mi mwenyewe ni star
hizo pigo za kuvimba ni ushamba
kwanza shepu huna sura huna
napendwa na pisi kali ndo maana roho inakuuma
[pre chorus : nay wa mitego]
tatizo sio mashemeji
akili zako kisoda
mpaka kwa mafundi garage
unagawa uroda
[chorus : maua sama & nay wa mitego]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
letras aleatórias
- letra de сохры (saved) - а3надцатый (a13real)
- letra de ecstasy - yung cams
- letra de feelings go e - frank ocean
- letra de poison - liam starica
- letra de simbiose - iurih
- letra de anxiety - jowonu feat. jclef
- letra de blue strips - ambjaay
- letra de sou zoeira (vol. 08) - washington brasileiro
- letra de дешёвые драмы (cheap dramas) - aikko & adamant
- letra de put em on blast - nazzycore