
letra de baba jeni - maua sama
[verse 1]
hivi we hufikiri hufikiri
kuwa nawe siwezi
kweli siwezi
kukupa moyo
eti tuwe wawili wawili
hizo share siwezi
kwenye mapenzi utaniumiza moyo
kwanza unanionaje
pisi kali yakwenda
tena nina jina mimi
nakuhifadhi unavimba, unavimba
[pre chorus]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
[verse 2]
kwako nilijikwaa
kimapenzi nilikusitiri tu mwenzangu
basi show ata ungeweza
ila nilituliza tu kamoyo kangu
kebehi na gubu
sina raha roho juu juu
baba utaniua kibudu
bora nidisappear
ey umesema ndo nanona
aloniteka amesoma
master ya mapenzi
sio diploma ananipa mie
[pre chorus]
tena we na mashemeji
akili kisoda aah kisoda
niwe nawe wa nini
hunifikishi kigoma
[chorus]
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
baba jeni bye bye, bye bye
bye bye, bye bye
bye bye, bye bye
letras aleatórias
- letra de baljeet - ricecake
- letra de 이젠 (from now) - got7
- letra de night by night (skream remix) - chromeo
- letra de i nattens lugn (akustisk) - adolphson falk
- letra de mandrillus - .the ring
- letra de halt mich fest - johannes oerding
- letra de immer wieder (try again remix) - slick idiot
- letra de demons - yung pinch
- letra de plat pays - 13'k
- letra de something stupid - landau eugene murphy jr.