letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de vaileti - matonya

Loading...

watu walishachonga sana, eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby

mi′ na huyu demu tunapendana sisi kila sehemu
mi’ naye hatutoachana, kwenye shida na raha sisi tunapendana
ona tunapendana, mseme msemavyo tutazikana
mi′ na vai’ hatutoachana, mbane mbanavyo tutazikana

mi’ naye hatutoachana, wanaogombana wanapatana
nikikuudhi naomba unisamehe, kama kadi, “i′m sorry” mpenzi nikuletee
sema unachotaka, chochote unachotaka nitakupa mama
baby usiwe na pupa, usiwe kama fisi unataka mfupa
wewe vailet amini we ndo my sweet heart
mi napenda unavyodeka unavyocheka, mwili unaweweseka

watu walishachonga sana, eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby

watu walishachonga sana, eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby

vailet njoo, vailet usi-go
vailet usifanye chochote itakuwa soo
kwani mi mwenzako tonya nakupenda sana
ziba masikio wanafiki watakudanganya

vailet basi usiwe na wasi′
ushanikataza nastop kuvuta nyasi
kuna mazuri baby utakuwa huyapati
kipindi kile we utaponisaliti, eh

vailet we ndo keki wengine fake, mtamaniji huwa hariziki, eh
mi na wewe tu, we ndo w-ngu sister du
usiwe na makuu nasisitiza we ndo my boo
vailet usininyanyase mie, vailet nini nikununulie (baby)

watu walishachonga sana, eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby

watu walishachonga sana, eti vailet simpati tena
na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby
hata kiss na hug sipati, oh mama, baby

baby, mara, mara boo, mara, mara boo
vailet, vailet ma’, vailet
(wabishi wote ndani ya sing hapa au sio)
vailet ma′, vailet mommy usinichukie

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...