letra de taxi bubu - matonya
[pre-chorus: matonya]
k-mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
[verse: 1 – fid q]
k-mbe ni taxi bubu, niliemuhusudu
akaniganda mithiri ya mdudu kupe
mchana za njano, usiku ana nyeupe
yaliyomo hayamo, lakini mi nimeona it’s not fair
[verse: 2 – matonya]
kweli usilolijua usiku wa giza
kipenzi cha moyo leo hii kinaniliza mimi
hisia nilimpa yeye sababu ya k-muamini
ni chunusi si baharini, hata nchi kavu pia jamani wanathamani
mwenzenu nkasema labda nionapo picha ya kimwali mi ni hoi
k-mbe sivyo bwana, vile nilivyodhani awe w-ngu wa milele
hivi ndivyo alivyo kupenda anataka, kupendwa anaogopa
sababu ana mengi maovu asije umbuka
[chorus: matonya]
k-mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k-mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 3 – matonya]
ni bora ningejua mapema kama maisha yako wewe ni ya viwanjani
sio ufala, ulinizuga sana kwamba wewe huna hizo ni wa getini
mchana unakuja home mitandio kichwani
usiku ndo sikuoni
k-mbe mwenzangu mimi kiwanja kinondoni kwa macheni hamjui nani!
usiwaone tu machoni, pia kuna wengine mazugoni maofisini
k-mbe nao hao (kuwa nao)
k-mbe nao hao (cheka nao)
k-mbe nao hao
[chorus: matonya]
k-mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
k-mbe taxi bubu mchana namba za nyano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe na
[verse: 4 – matonya]
muamini akuamini, umvike madini
mkale kiapo mpaka mwaf-kiwa aridhini
sio kichochoroni, kavu kavu mdomoni
kakudanganya kuwa anaishi getini
hupatikana hata mitaani ukimwi
usimuamini kwa k-muona kwa macho
[chorus: matonya]
k-mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
k-mbe taxi bubu mchana namba za njano, usiku weka nyeupe
na mi tonya nishamuhusudu nae kaniganda ganda mithiri ya mdudu kupe
letras aleatórias
- letra de jasmine - ynb yb
- letra de swing my way - d$wiss
- letra de cultivando juanamary - el jincho
- letra de intimité - magenta musique
- letra de nie richtig - chakuza
- letra de let me leave - currents
- letra de rockstar (remix)* - dababy
- letra de você já foi à bahia? - walt disney records
- letra de the devil within (jhn hnry remix) - razakel
- letra de snaxk - molly brazy