letra de intro - matata
[intro: phy]
mum alisema, “your the brightest star
na usisahau that my love for you will go far
[interlude 1: matata mums]
naitwa naomi mwikali (ndio mama ken)
bancy nyaguthie (mimi ndiye mama richie)
patricia milanya (mimi ndiye mamake fred)
kwa majina naitwa everlyne ojiambo (mimi ni mama marcus)
lucy nyoroka (mama ya fezzo)
richie akiwa class two hapo alikuwa ye anadance tu
marcus akiwa na miaka k-mi alitokea kwa kikundi ya kanisa
nilijua huyu mtoto alikuwa na talent akiwa three years na nikambia mungu kwa sababu yeye ni mungu ambaye hukuza talent amtangulie
alikuwa anapenda muziki anapenda kudance
[break]
matata, matata, matata
matata
[interlude 2: matata mums]
na mimi huwa napenda hizo nyimbo zote
lakini wimbo yenye napenda zaidi ni ‘mare mare’
‘mapema’ very first ilinifurahisha mpaka hata wa leo
hii yenye ilitoka wanaimba ‘come baby, come baby’ hiyo ndio napenda sana
ile ya uthoni inaitwaje?
‘ruracio’ ndio na skizanga nikasema hawa watoto wamefikiria nini kuimba hiyo ya uthoni
naskiza na kwa makini sana kwa sababu ninajua kama sasa mambo ya ruracio that is ‘dowry’ then wako gangare
letras aleatórias
- letra de n.cb.t. - paybac & chx
- letra de city of angels - bridge to grace
- letra de mordomia - garotos podres
- letra de yes bwoiii - dfysaga
- letra de atmosphere (feat. blaq josh) - bee da unique
- letra de never can say goodbye - babado novo
- letra de niente più - léo ferré
- letra de mama weiß bescheid - milan (producer)
- letra de chrome ocean - whalers
- letra de did you miss me? - the young gods