letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de gengetone love - matata

Loading...

hi ni pepe, kaa barua hua
sio ma pepe ya martha karua
tangu ni vishe pete, nyani sijauwa

lazima ni pepete, iwe jua ou mvua
mi kw-ngu dem sura tabia tutarekebisha
na size pia hu matter i sey, acha kubisha
ebu ambia jirani aweke pazia kwa drisha
juu nikona patrisha alicia tuna bingrisha

unafanya mi ni imbe injili
unafanya ni si nyonge tumbili
unafanya mi ni imbe injili
unafanya ni si nyonge tumbili

come beiby come nikupe gengetone love
uuh beibe, gengetone love
kwama kama kupe nikupee
gengetone love, love, loove
gengetone love
come beiby come nikupe gengetone love
uuh beibe, gengetone love
kwama kama kupe nikupee
gengetone love, love, loove
gengetone love

kaa mapenzi ni kipofu, mimi ndio stick
wengine wako walk off mi nita stick
hii sio juju kamote, yangu ni stick
how can i breath, na simu haupick
nakufikiria zaidi ya vile nasahau
mapenzi ni safari na ushakula fare
wow, how, haki unanifanya how
nimetupa rada imebaki nitupe mbao

unafanya mi ni imbe injili
unafanya ni si nyonge tumbili
unafanya mi ni imbe injili
unafanya ni si nyonge tumbili

come beiby come nikupe gengetone love
uuh beibe, gengetone love
kwama kama kupe nikupee
gengetone love, love, loove
gengetone love
kwama kama kupe nikupee
gengetone love, love, loove
gengetone love

adisia sia love pills nikachoke
utanyonga joint kwanza ama cork
looo, umenigusa loo
skiza punchlines si kelele za john (aah)
kes ni kes si budako ni thegi joh
mosh ni mosh utavuta gani joh
drunk inlove niko tipsy na staga
vi addictive, attractive na go mimi
gugu gaga

unafanya mi ni imbe injili
unafanya ni si nyonge tumbili
unafanya mi ni imbe injili
unafanya ni si nyonge tumbili

come beiby come nikupe gengetone love
uuh beibe, gengetone love
kwama kama kupe nikupee
gengetone love, love, loove
gengetone love
come beiby come nikupe gengetone love
uuh beibe, gengetone love
kwama kama kupe nikupee
gengetone love, love, loove
gengetone love

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...