letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de utaniget - masterpiece king

Loading...

yo for real you already know me

(motif the don)

yo

walitry kunizima niko past that

nikiangalia mirror mi nakua starstruck

ala macho nyanya kwa passport

naifanya first but naifanya faster

ka ni january na una doo utaniget

ka uko na mkiddy na anagrow utaniget

ka we husetingi maforeign utaniget

ka we hudishingi na mabro utaniget

ka uko na chupa na ni b a utaniget

ka uko na msupa na ametulia utaniget
ka simu hushindaga imelia utaniget

kama ilienda na ikakurudia utaniget

ah wananiita mi swajonistick

si ujitoe b-tch ka hujiski

niliambianga huyo gosho jo ajipanguze mdomo with this stick ju mi silambi lipstick

at scar mkadinali follow this link

ananipenda na namchukia iyo ndo mystery

ukiskia vella inanukia iyo ni ?

siwezi jiweka ju si tulitoka misri

nikikam thru nafanya beat inalala

siwezi kosa nduku huw-nga beat mbadala

makali ndo supu wada na wadada

alafu ni ma tu tu wananiita murderer tunatafuta doo wanatafuta hits
nikicheza na flow hiyo ni masterpiece

ni must hater ahate ni must adiss

kama wataget hii ni must watii

ka ni january na una doo utaniget

ka uko na mkiddy na anagrow utaniget

ka we husеtingi maforeign utaniget

ka we hudishingi na mabro utanigеt

ka uko na chupa na ni b a utaniget

ka uko na msupa na ametulia utaniget

ka simu hushindanga imelia utaniget

kama ilenda na ikakurudia utaniget

rasta master mi ni rasta

hustler piga michongo daily
kesho lazima ntokee ama ngojee

mhuni toka back dayz

napiganga luku daily

toka siaka rithe

toto ana body good wine and dance that body good

toto ana body good wine and dance that body good

alafu anataka ngongee

bunda kwa mbosho itabidi uisongee

walitry kunizima niko past that

nikiangalia mirror mi nakua starstruck

ala macho nyanya kwa passport

naifanya first but naifanya faster

ka ni january na una doo utaniget

ka uko na mkiddy na anagrow

ka we husetingi maforeign utaniget

ka we hudishingi na mabro utaniget

ka uko na chupa na ni b a utaniget

ka uko na msupa na ametulia utaniget

ka simu hushindaga imelia utaniget

kama ilienda na ikakurudia utaniget

ka ni january na una doo utaniget

ka uko na mkiddy na anagrow utaniget

ka we husetingi maforeign utaniget

ka we hudishingi na mabro utaniget

ka uko na chupa na ni b a utaniget

ka uko na msupa na ametulia utaniget

ka simu hushindaga imelia utaniget

kama ilienda na ikakurudia utaniget

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...