letra de mbingu zimefunguka - martha mwaipaja
haaa halleluyaaa, baba, mmmh
naona mbingu zimefungukaa
zimeleta majibu yangu
naona mbingu zimefungukaa
zimeleta maajibu yangu
nimesikia sauti ikitoka pale
ikisema mwanangu nimekusikia
nimesikia sauti ikitoka pale ikisema mwanangu nimekusikia,
sautii, iliposikika, nilihisi mwili w-ngu umebadilika
kila kiungo cha mwili w-ngu kimepokea makuu
kwa moyo ndani ya kilindi changu
naimba wewe ni mungu,
mimi, ndani ya kilindi changu naimba wewe wewe,
halleluyah, katika kilindi, kilindi, cha moyoo w-ngu, naimba
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu,
nakuimbia mwanao yesu
naimba wewe ni mungu (umetenda
makubwa sana) katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu (umenitendea makubwa yesu)
katika kilindi cha moyo w-ngu naimba wewe ni mungu
katika kilindi cha moyo w-ngu naimba wewe ni mungu
asante yesu kristo, wema wako umenitosha bwana
miguu yangu imeniambia,tumeshakwisha kutiwa nguvu
mikono yangu nayo imenieleza imezipokea baraka za mungu
katika kilindi cha moyo w-ngu
nasema wewe ni mungu
katika kilindi cha moyo w-ngu mimi nasema wewe ni baba
katika kilindi changu cha ndani yangu
baba nasema wewe ni mungu, halleluya,
katika kilindi cha moyo w-ngu, naimba naimba, naimba wewe ni mungu
umenisaidia yesu.
katika kilindi cha moyo w-ngu,naimba mimi, naimba wewe ni mungu,
umenifanya nionekana ninabidii, hee baba
katika kilindi cha moyo w-ngu, nakuinuaa
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu (umenifanya nionekane
na mimi baba) katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu (wewe ni mfalme
wa wote) katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu naimba wewe
ni mungu (naimba, naimba, naimba) katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu (nakutangaza wewe
ni mungu) katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu (wewe ni mzuri)
katika kilindi cha moyo w-ngu, naimbaa
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu (umenitazama) katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu
naimba wewe ni mungu katika kilindi cha moyo w-ngu (moyo w-ngu baba)
nasema wewe ni mungu
letras aleatórias
- letra de so young - mel briars
- letra de failure hotel - iov
- letra de paradise - bryce fox
- letra de the tide - inoha
- letra de zigzags - kill la mxth
- letra de познакомимся? (let's meet?) - .youngfox & frklk
- letra de forever lasting - domani
- letra de had that - stevage g
- letra de felicítalo - yuridia
- letra de mi carro x2 - bajocero x