letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de pi pii - marlaw

Loading...

ahaa, hey hey ×2

ninataka niwahi kufika,
njia ina jam sasa wapi ntapita,
nimekaa karibia saa sita,
sasa kukaa nimechoka, oh baby,
sijamuona long time na,
ndo narudi toka mwezi jana,
nimeshamwambia mama,
nimefika tangu mchana.
anajua nmeshafika, ameshapika, amekasirika,
alipika tangu mchana,
ila sasa lunch imegeuka dinner,

nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
pii pii; move out the way,
nimechoka kupoteza time,
nina siku nyingi kwenda home,
i am missing ma baby.
pii pii; hallo baby,
natamani niwe nyumbani,
nimekwama hapa njiani,
kuna jam baby.
ahaa, kuna jam baby,
ahaa, hallo ×3

unanikatia simu unanionea,
we ungekuwepo ungejionea,
unafanya hivo, unakosea mama.
unanikatia simu unanionea,
we ungekuwepo ungejionea,
unafanya hivo, unakosea mama.
nakuomba mpenzi ungojee,
ni njiani, naja, niombee,
nimechoka na kuja too late,
huruma nionee.
nakuomba mpenzi ungojee,
ni njiani, naja, niombee,
nimechoka na kuja too late,
huruma nionee.

nimechoka kungoja highway,
nitapita kokote mradi we,
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)
nimechoka kungoja highway,
nitapita kokote mradi we,
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)

nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
pii pii; move out the way,
nimechoka kupoteza time,
nina siku nyingi kwenda home,
i am missing ma baby.
pii pii; hallo baby,
natamani niwe nyumbani, (eh, eh)
nimekwama hapa njiani,
kuna jam baby.
ahaa, i love you so much,
ahaa, i love you mama ×2

nimechoka kungoja highway,
nitapita kokote mradi we,
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)
nimechoka kungoja highway,
nitapita kokote mradi we,
ili kama ni kesi na iwe…
(hatuelewani)

pii pii; move out the way,
nimechoka kupoteza time,
nina siku nyingi kwenda home,
i am missing ma baby.
pii pii; hallo baby,
natamani niwe nyumbani,
nimekwama hapa njiani,
kuna jam baby.
pii pii; move out the way,
nimechoka kupoteza time,
nina siku nyingi kwenda home,
i am missing ma baby.
pii pii; hallo baby,
natamani niwe nyumbani,
nimekwama hapa njiani,
kuna jam baby.
i love you so much
i love you mama ×3
i love you so much
ma baby ×6
ahaa, i love you so much
ahaa, i love you mama ×3
ahaa, i love you so much
ma baby ×6

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...