letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de why - marioo

Loading...

[instrumental intro]
cannibal
kutoka, haloo
(it’s cannibal)
mh

[pre-chorus]
baby, naomba tujirekodi
(why)
ah, k-mbuk-mbu
(why)
siku nikiku-miss
(why)
ah, naitazama tu
(naijua hiyo)

[verse 1]
haloo, shii
kuna mwizi aliiba simu yangu
kashindwa kuiuza, kairudisha ah
unajua kwanini? mh-mm
mi mjanja weh
kuna kibaka kapora tambo langu
kashindwa kuliuza kalirudisha
unajua kwanini? ah
nimeweka password
[hook 1]
asa unaogopa nini weh?
unaogopa nini weh
asa unahofia nini weh?
unahofia
baby, you’re not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable
why you’re not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable, ah

[chorus]
baby, naomba tujirekodi
(why)
ah, k-mbuk-mbu
(why)
siku nikiku-miss
(why)
ah, naitazama tu
(naijua hiyo)
baby, naomba tujirekodi
(why)
ah, k-mbuk-mbu
(why)
siku nikiku-miss
(why)
ah, naitazama tu
(naijua hiyo)
[verse 2]
shii
si unapendaga tiktok?
(enhee)
tupate na [?]
(enhee)
mi naona shega, bando poa
haloo, (i don’t like it)
si unapenda snapchat?
(enhee)
tuchape filter
mi naona shega, bando poa
haloo, (i don’t like it)

[hook 2]
baby, you’re not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable
why you’re not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable, ah

[chorus]
baby, naomba tujirekodi
(why)
ah, k-mbuk-mbu
(why)
siku nikiku-miss
(why)
ah, naitazama tu
(naijua hiyo)
baby, naomba tujirekodi
(why)
ah, k-mbuk-mbu
(why)
siku nikiku-miss
(why)
ah, naitazama tu
(naijua hiyo)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...