letra de wangu - marioo
[intro: marioo & harmonize]
yeah
yow, yow, (hehe)
(coughs)
bomboclaaa-, (hehe)
aah-ah
kutoka, haloo
[verse 1: marioo]
kama utani moyoni ameingia
na mi nimeshazama
tulikutana tiktok ndio mwanzo kufahamiana
mara ghafla, bin vu!
kila kitu tunaendana
ameninasa ka ulimbo
sitaki acha k-mtazama, weeh
[pre-chorus: marioo]
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
[chorus: marioo]
asa nataka wajue unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w-ngu)
kwa wasio amini we ni w-ngu ‘niite, “my”
(my w-ngu)
hata ukiniposti caption andika “sweetie”
(sweetie w-ngu)
wakija kukutongoza waambie ‘mi na mpenzi, hey
(mpenzi w-ngu)
[bridge: harmonize]
mh-mh
uh…
konde boy call me number one
[verse 2: harmonize]
muombe mungu uzima
tatizo la mapenzi kanituma mimi
nikupe…
ni kupende
iwe madimbwi, milima
we fly any weather
wa ubani ndio mimi wa upendo
nikupe… (mh-mh)
ni kupende
muoga wa ku-cheat, ndio huwezi
ya uongo ndio kabisa siwezi
nalikizama unao tamba ni mwezi
nakuposti wajue sijiwezi baby
[hook 1: harmonize]
ona, penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
(ah, doh)
kama maji ya bomba
[post-chorus: harmonize & marioo]
mi nataka wajue kama unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w-ngu)
na kama ukiniposti snapchat ‘niite, “my”
(my w-ngu)
you’re my one and only, my love, my sweetie
(sweetie w-ngu)
wakija kukutongoza wajibu ‘wewe unaye mpenzi
(mpenzi w-ngu)
[outro: harmonize]
bomboclaaa-
letras aleatórias
- letra de witching hour - nosferatu (2)
- letra de i was in - anna mcclellan
- letra de straight to hell - emm gryner
- letra de it's to late now... we ready... - pastor troy
- letra de heartbeat - bugge wesseltoft & sidsel endresen
- letra de i am just here for the check - swerzie
- letra de thái bình mồ hôi rơi - sơn tùng m-tp
- letra de you changed - thakidalyssa
- letra de russian standard - insomniacs
- letra de i can't see you - lovespirals