letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de unanchekesha (move on) - marioo

Loading...

[intro]
mh
(s-xy-s-x-s-x-s-x, she’s so s-xy-s-x-s-x-s-x, s-xy-s-x-s-x-s-x)
(s2kizzy baby)
unanchekesha (he-he-he-hee)
mh (ho-ho-ho-hoo)
bad (he-he-he-hee)
haloo (ho-ho-ho-hoo)

[verse 1]
oya nani ana namba, hey
ya coy mzungu?, hey
ampigie kuna mtu ana kipaji, hey
cha kuchekesha aende akachekeshe
mi mtu mzima, ‘anantishia nyau
eti kosa si kosa, anasema tuachane
mi nikamuacha

[pre-chorus]
mi nisha move on
ndio ananiganda, ganda
kala ndizi kasahau alinitupia maganda
mimi mtoto wa mungu ‘ye anatumia waganga
kabla hajavuka mto, akatukana mamba

[chorus]
si ulisema sipati bebe?
huyu nani?
si ulisema sipati mtoto mkali?
huyu vipi?
unanchekesha (hе-he-he-hee)
haloo (ho-ho-ho-hoo)
he-hе (he-he-he-hee)
haloo (ho-ho-ho-hoo)
unanchekesha (he-he-he-hee)
s-xy, s-xy, s-xy, s-xy
(ho-ho-ho-hoo)
s-xy, s-xy, s-xy, s-xy
(he-he-he-hee)
unanchekesha
(ho-ho-ho-hoo)
shii
[verse 2]
ukipiga simu mi siokoti, ‘mi siokoti
ukituma message nafungua nauchubua
(ukipiga simu mi siokoti, ‘mi siokoti
ukituma message nafungua nauchubua)
usipige simu mi siokoti, ‘mi siokoti
nipo na mchumba, chumbani unasumbua
(usipige simu mi siokoti, ‘mi siokoti
nipo na mchumba, chumbani unasumbua)

[hook]
mi nisha move on
ndio ananiganda, ganda
kala ndizi kasahau alinitupia maganda
mimi mtoto wa mungu ‘ye anatumia waganga
kabla hajavuka mto, akatukana mamba

[post-chorus]
si ulisema sipati bebe?
huyu nani?
si ulisema sipati mtoto mkali?
huyu vipi?
unanchekesha (he-he-he-hee)
haloo (ho-ho-ho-hoo)
he-he (he-he-he-hee)
haloo (ho-ho-ho-hoo)
unanchekesha (he-he-he-hee)
s-xy, s-xy, s-xy, s-xy
(ho-ho-ho-hoo)
s-xy, s-xy, s-xy, s-xy
(he-he-he-hee)
s-xy, s-xy, s-xy, s-xy
unanchekesha
(ho-ho-ho-hoo)
ka mix lizer

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...