
letra de tete - marioo
[intro]
s2kizzy baby
aiyay kutoka alooh
[verse 1]
baby nichumu hadharani, mwaah
mi nataka waumie
baby nikiss hadharani, mwaah
mi nataka waumie
dooh, salale
ulikua wapi kipindi nalizwa
ulikua wapi kipindi naumizwa
hivi ulikua wapi?
kipindi nanyanyaswa
mimi vile nakupenda
[pre-chorus]
akitoka mama, unafuata mpenzi
ambaye ndo wewe
you’re my happiness
wakitoka wazazi, anafuata mpenzi
ambaye ndo wewe, you’re my happiness
[chorus]
mimi kwako tetee
tetete, tetete, tetete
nidekeze kama mtoto
tetete, tetete, tetete
ukitaka nibebe mgongoni
tetete, tetete, tetete
nifunze kutembea
tetete, tetete, tetete
tetete
[verse 2]
ukichanganywa asali fanta bananana
na ulivyo mtamu, sweet sweet
s-xy s-xy body ya fantana
lips ina test ya pipi pipi
[bridge]
ooh baby nakupenda, nakukunda
sogea nikupambe, sogea nikubusu
ngyankutanda, mon frère, je t’aime
te amo babe wee
[pre-chorus]
akitoka mama, unafuata mpenzi
ambaye ndo wewe
you’re my happiness
wakitoka wazazi, anafuata mpenzi
ambaye ndo wewe, you’re my happiness
[chorus]
mimi kwako tetee
tetete, tetete, tetete
nidekeze kama mtoto
tetete, tetete, tetete
ukitaka nibebe mgongoni
tetete, tetete, tetete
nifunze kutembea
tetete, tetete, tetete
tetete
letras aleatórias
- letra de real me - nba..mannmann
- letra de boom bap - [b] rogers
- letra de counterfeit - meghan linsey
- letra de fresh & fly - waka flocka flame
- letra de don't stay - denimadic
- letra de for that - soul khan
- letra de zan (pish ahang) - areffbr
- letra de how do you - dell savage
- letra de king to you - huxley ware
- letra de 030er - 030er (mytoz & atty030)