
letra de sober - marioo
[instrumental intro: alikiba & marioo]
yoh!
abbah, abbah
the godson, haloo
sounds by abbah
[verse 1: marioo]
ah, si unaona
tuko tu poa kama jana, ila leo tuko sober
hakuna shido
we mwenyewe si unaona?, ah
tulikunywa sana jana, ila leo tuko sober
(sober, sober)
[pre-chorus: marioo]
gambe siwezi hivyo
sinywi nitukane jamaa zangu
ah
silewi nigombane na ndugu zangu, ooh…
sinywi nitukane jamaa zangu
silewi nigombane na ndugu zangu, ooh…
[chorus]
ila kuna muda ndonga in-z-diwaga, oh-oh
ndio maana hujipoza sisi
sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
ndio maana leo tuko sober
leo ndio tuko sober
sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
ndio maana leo tuko sober
leo tuko sober
[verse 2: alikiba]
ah, ah, aah…
nimetoka kuachwa
nimef-kuzwa kazi
nadaiwa kodi, kuvuja kwa pakacha
i’m so down
i’m [float] ‘nimechacha (mie)
yaani sina hela
na mambo ya kulea, nasomesha mapacha
oh, oh (ah)
narudi kwako, unipokee
baraka zako, usinichokе
usiniache, nipotee
[post-chorus: alikiba & marioo, both]
ila kuna muda ndonga in-z-diwaga, oh-oh
ndio maana hujipoza sisi
sisi hapa sote ndoto zetu kwеnda peponi (sisi, lakini)
ndio maana leo tuko sober
leo tuko sober
sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
ndio maana leo tuko sober
leo tuko sober
ndoto zetu kwenda peponi
leo hatuko sober
[instrumental outro]
abbah!
letras aleatórias
- letra de sex + music = life - in2ition
- letra de the rise - awni
- letra de balisé - dadju
- letra de home shopping network - chuuwee
- letra de oro e diamanti - guè pequeno
- letra de mind wide open - laszlo music
- letra de forever love - elle vee
- letra de królowie rytmu - slums attack
- letra de overtid - jns
- letra de the real thing - sean rowe