
letra de 2025 - marioo
[intro: stans & marioo]
stans, oh
[? master]
ai, wewe
ooh, yeah
weh, ah
[verse 1: marioo]
baby niposti
kwani mi si mali yako?
unamuogopa nani?
ai wewe, eh
baby nichum
kwani mi si mali yako?
unamuhofia nani?
ai, wewe
mi naona raha
kama tunawakera, ah
na bila hata kuwagusa
bila hata kuwasema
mi naona raha
kama tunawaboa, ah
bila hata kuwaomba
bila hata kuwaghasi, ah
[pre-chorus: marioo]
mungu kaumba dunia
ina watu na viatu
kaumba dunia
ina vitu na vituko, oh
mungu kaumba dunia
ina watu na viatu, ooh
ila si tunavyo pendana
wataachana wao
[chorus: marioo]
tunadunda mpaka 2’25, 2’26, 2’27, ‘oh 2’28
tunadunda mpaka 2’29, oh
2’30 oh
ila si tunavyo pendana
wataachana wao, oh
[bridge: stans]
yeah
stans, oh
[verse 2: stans]
yeah
baby naomba nifanye
baby naomba nifanye
nifanye niwe wako daima mpaka mwisho
oh, baby naomba niweke
baby, naomba niweke
ndani ya moyo wako daima, hey
wale wote wanaojifanya pweza, wakutabiri penzi
mwaka huu tuwachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ha
wale wote wambea, wambea
watia chumvi penzi, midomo tuwafumbe
tupendane, waishiwe nguvu (ha)
hey
[hook: stans]
mungu kaumba dunia
ina watu na viatu
ila si tunavyo pendana
wataachana wao
[post-chorus: marioo & stans]
tunadunda mpaka 2’25, 2’26, (oh)
2’27, ‘oh 2’28
tunadunda mpaka 2’29, oh
2’30 oh
ila si tunavyo pendana
wataachana wao, oh
hey, stans oh
aah, aah, hey
letras aleatórias
- letra de meike - dcvdns
- letra de the graduation - lil mooch
- letra de caça à raposa - elis regina
- letra de interesada - farruko
- letra de non stop flow - amet2111
- letra de bodyrock (dani koenig remix) - moby
- letra de ya no te quiero - marisela
- letra de slutty girls - mr. knightowl
- letra de say my name (mr linslee introducing wayne's world) - destiny's child
- letra de big talk - conway (band)