letra de jonvu kuu - malika
mimi naishi mbali niko jonvu kuu
kwa jina lake la pili hambiya kismayu
mungu tanipa sahali nipate nye nafuu
nimegovu yangu hali kwa kwenda kwa maguu
mimi naishi mbali niko jonvu kuu
kwa jina lake la pili hambiya kismayu
mungu tanipa sahali nipate nye nafuu
nimegovu yangu hali kwa kwenda kwa maguu
nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
na mabaya penzi w-ngu unifikia
haya ninayo kwambiya yasiokuwa na budi
iliupate elewa uliabaidi
mthana kutwani juwa na usiku ni baridii
mimi na uguwa fanya jitihadi
haya ninayo kwambiya yasiokuwa na budi
iliupate elewa uliabaidi
mthana kutwani juwa na usiku ni baridii
mimi na uguwa fanya jitihadi
nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
na mabaya penzi w-ngu unifikia
mahe maya ya na vuja ikinyesha mvua
huwezi kukiti hajaa ikitokeya
aris farah
mimi hapa nakungoja upate kunithukuwa
bathibu kunipoza ni wewe juwa
mahe maya ya na vuja ikinyesha mvua
huwezi kukiti hajaa ikitokeya
mimi hapa nakungoja upate kunithukuwa
kathibu kunipoza ni wewe juwa
nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
na mabaya penzi w-ngu unifikia
mtakuwa na maana tukiwa na utu
tutafurahika sana kwa kila kitu
litepukele tushina zinyawiri nyoyo zetu
inshallah tutaonana ewe w-ngu mtu
tutakuwa na maana tukiwa na utu
tutafurahika sana kwa kila kitu
litepukele tushina zinyawiri nyoyo zetu
inshallah tutaonana ewe w-ngu mtu
nimechoka na dhiki nyingi na udhiya
na mabaya penzi w-ngu unifikia
letras aleatórias
- letra de trtx - aszerka
- letra de lady of my dreams - nick moses
- letra de nuba mage nam - evill d zayge
- letra de danked out youngstaz - caramelo
- letra de no gravity - vanquish
- letra de trouble in mind - blues traveler
- letra de глаза (eyes) - cafard
- letra de ahora lloras por mi - la inolvidable banda agua de la llave
- letra de che - puressence
- letra de screw - hey! say! best