letra de achia brathe - makushata family
lyrics
davie:
makushata familia
makushata familia
makushata
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
ei brathe eii
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
ei brathe eii
verse 1: smallie
budako na masako wali discuss kukujenga
na kenye walijenga manze imenipendeza
kadayla nitakazana tusikose jooh ya meza
usijali with time nitakuspoil na ma dollar
wakicheki tu vi fyn watajua tuliomoka
na shamba uko meru tutapanda jooh mogoka
walaai nitajikaza for ur love mi siezi choka
and promise me walai nikisota utanitoka
nitafanya all i can baby jooh kukupendeza
na kama ni subaru si tushikishe imprezza
mangoma jooh za skippa ndio zichune tu kwa keja
lenga stori zao zima simu ukue mteja
wakidai wanakung’ora kuna mbogi imejitepa
generally pon de tingz watajua ni bazenga
ngoma jooh si dis love stori minajenga
ukidai ngoma na mii buda chora na meneja
chorus:
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
ei brathe eii
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
ei brathe eii
verse 2
generally :
cheki nakupenda na mi sina dooh
ma feelings kibao zimeshinda adi dollar
chini ya maji nikimwita baby mama
amecladi kathong ananiwacha na joto
wengine wakatisha generally is a sinner bazenga warembo wa ghetto nawaacha na lawama cheki round hii minapiga godoshi
verse 3
papa :
chuki jenga kwako mrazi acha vako
virginia ndio kw-ngu mi namanga adi wako
na vile niko njaa namkula kama poko kwanza nampapasa ady anashikwa na joto
nasaka job job ndio niishi kama sonko
outro
dave :
ati sonko ati sonko minisoko ei
niliomoka number nane minapenda figure
nane ikuje mara nane ikuje mara
chorus:
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
ei brathe eii
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
chapa chapa alafu achia brathe
ei brathe eii
letras aleatórias
- letra de they live. (exit) - fly anakin
- letra de talkshit - zaro
- letra de l'éternel féminin - juliette
- letra de grime (snippet) - st♡ff
- letra de be safe tho - marcus ariah
- letra de too good to be true - danny avila & the vamps
- letra de victory lap - superhero
- letra de magic - chad siwik
- letra de broken record - m.a.l.c.
- letra de trust - faith community worship