letra de vasha - magix enga
(magix enga on the beat)
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee

skia vile nabonga sifikii breaks ju dem ako session
dj ni nani? izo mangoma zirudi rotation
kwani ni kesho si hatujakuja kucheki magari
na wacha kubonga ambia serikali ikupatia kazi
dem amekatika sana makeup kutoka amekaa kimani
inaweza kuwa muhadhara kujipata na hii kitu kеjani
wacha nichanga location nisilewe nione mali ni safi
ama nichomе kigode zii, zitanishow nimpee nafasi uh
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee
vile nganya inatoka kehuti inabidi ngeus akwame na chuma
hakuna kujuana majina kama umeiva mate lazima
ju hii ni subaru ina logo ya bima vile utapigwa si utazima
dem wako ameniomba viatu nikampiga ma fila’s
but mi nimesota yes lakini siwezi piga kitu imechoka
na hapa ni vasha tings ngoko inapigwa mpaka inamochoka
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee
wacha huyo boy ajibambe na passion leta hio gin
enda kwa boot nina konyagi leta hio gin
hakuna rolls mrembo wa vasha shukisha jeans
so wacha kelele wacha kelele wacha kelele wee
letras aleatórias
- letra de she's crazy but she's mine (nightcore remix) - alex sparrow
- letra de min tid - 10an
- letra de keep it real - all for nothing
- letra de tapetentür - messer (german post punk)
- letra de all night - aol x 4everhaunt3d
- letra de wet grass - just honest
- letra de blackstrap molasses - charly jordan
- letra de supposed to be love - maceb
- letra de maladif - vso
- letra de coast to coast - tillaclay