
letra de state house - magix enga
enga for president state house
ni kuwasha tu mangwai
nawashika marolling papers
na zishamochoa ndae
alidhani mi ni one of them
wapi nimetoka ghetto ndani
na drill imeanza sai
na naichana ikiwa safi
enga for president state house
ni kuwasha tu mangwai
nawashika marolling papers
na zishamochoa ndae
alidhani mi ni one of them
wapi nimetoka ghetto ndani
na drill imeanza sai
na naichana ikiwa safi
nimetoka mashini karandi, huko ni ngori utatoa uradi
master chini ya maji kuchoma mashada mabop
rasta hawaradi kijana bado ako kazi
nimerudi ghetto kushoot vijana tuomoke wote
twende kazi nikitoka na ndae, bullsh-t sipendagi walai
mi ninabonga we utabonga baadae, nikopeshe na utaonwa baadae
ng’anga -n-learn -n-learn k-make beat
namcall sai tubonge biz
you can’t talk about businеss wakati everything is lockdown
enga for presidеnt state house
ni kuwasha tu mangwai
nawashika marolling papers
na zishamochoa ndae
alidhani mi ni one of them
wapi nimetoka ghetto ndani
na drill imeanza sai
na naichana ikiwa safi
enga for president state house
ni kuwasha tu mangwai
nawashika marolling papers
na zishamochoa ndae
alidhani mi ni one of them
wapi nimetoka ghetto ndani
na drill imeanza sai
na naichana ikiwa safi
kama inabamba shika nyomboke mwambie “mambo unanibamba”
hizi mangoma huwa ziandiki zinanibamba
hizi madoba wanadai ni za washamba
hawaezi elewa wapatiwe juice ya jaba
kerae ni bima
napiga look safi sana chuja ni puma
madharau sipendi zii
napiga drip safi kuliko wasafi
nasupplyia watu mtumba
enga for president state house
ni kuwasha tu mangwai
nawashika marolling papers
na zishamochoa ndae
alidhani mi ni one of them
wapi nimetoka ghetto ndani
na drill imeanza sai
na naichana ikiwa safi
enga for president state house
ni kuwasha tu mangwai
nawashika marolling papers
na zishamochoa ndae
alidhani mi ni one of them
wapi nimetoka ghetto ndani
na drill imeanza sai
na naichana ikiwa safi
letras aleatórias
- letra de stochastik ᵔᴥᵔ - kerker
- letra de tududu - deluxe
- letra de love worth fighting for - central park cast
- letra de drink - jack g
- letra de time - givēon
- letra de acho que tô bem - number teddie
- letra de сны (dreams) - doloralone
- letra de villain - missio
- letra de cupcake - arda (soundcloud)
- letra de chciałabym - rajku