letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i love you - maddoh

Loading...

umeumbwa mashallah
yako sura na tabasamu
tamu yangu hauniishi hamu
kwenye kilinge wendo mtaalamu
nimepata e wallah
penye utulivu
wanipa chachandu
yendo kitabu mindo kalamu
mmmh ahaahaaa

sito kuletea jealous
me nawe mpaka kifo hio basi
upendo ntautuza kwa nafasi
nacho itaji kusema i love you

wani tibu yangu maladhi
unanyendo usini ache mwendo kasi
kwenye wali umekoleza hio n-z-
nacho itaji useme i love you

au twende kwa babu kule shamba kimbiji
tinga nikabu si unajua magwiji

heshima ni moyo ilo unalo
kipendacho moyo jua ni dawa

sweet love maji yameni fika shingoo
sauti yako kama ringtone
usije niumiza

sito kuletea jealous
me nawe mpaka kifo hio basi
upendo ntautuza kwa nafasi

nacho itaji kusema i love you

wani tibu yangu maladhi
unanyendo usini ache mwendo kasi
kwenye wali umekoleza hio n-z-
nacho itaji useme i love you

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...